Kisiki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kisiki - Sam Wa Ukweli
...
Aayy
Kamoyo kangu kanatamani
Muda wote niwe nawe
Sitaman uwende mbalii ah
Ukanifanyaaa nipagawe
Nataman mbivu tam zaid ya tende
Ninogewee nile nawe
Ntakulindaa kwa mwingine usiende
Nijivunie kuwa nawe
Usiniumize usiniulize hivi kwa nini nakupenda wewe
Kamoyo kangu kilishaumizwaga kilishatendwagwa ay ay
Ila bac usipitilize ukiniumlizaaa juu ya pende lako wewe
Sitamani mwingine zaid ya ww oohh
Mimi ni kisiki niliota shambani
Hataa kwa jembe we hauning'oii
Hivi kwa nini hatukujua zamani
Nisingeumizwa mm ningeenjoy
Mimi ni kisiki niliota shambani
Hataa kwa jembe we hauning'oii
Hivi kwa nini hatukujua zamani
Nisingeumizwa mimi ningeenjoy
Ase oohh my (ng'ari ng'ari my)
Ohh my (ng'ari ng'ari my)
Ase oh my (ng'ari ng'ari my)
Ase oh my
Ase oh my
Ase oh my
Ase oh my
Ase oh my
Nilipendaga nikaumizwaga
Nikasemaa sitopenda tena
Kamoyo kangu nakaulizaga
Hivi kwa nini mimi napenda tena
Nilipendaga nikaumizwaga
Nikasemaa sitopenda tena
Kamoyo kangu nakaulizaga
Hivi kwa nini mimi napenda tena
Naona raha kuwa nawe maishani
Naona Kama nipo paradise
Tujihadhari na wajanja wa town
Wanaweza kutushusha down
Hao wabayaa hao wabayaa
Hao wabayaa hao wabayaa
Mimi ni kisiki niliota shambani
Hataa kwa jembe we hauning'oii
Hivi kwa nini hatukujua zamani
Nisingeumizwa mimi ningeenjoy
Mimi ni kisiki niliota shambani
Hataa kwa jembe we hauning'oii
Hivi kwa nini hatukujua zamani
Nisingeumizwa mimi ningeenjoy
Ase oohh my (ng'ari ng'ari my)
Ohh my (ng'ari ng'ari my)
Ase oohh my (ng'ari ng'ari my)
Ase oh my
Ase oh my
Ase oh my
Ase oh my
Ase oh my
Sam wa ukweli
Sam mjukuu wa kungerama
Translate to English