![Hata Kwetu Wapo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/2E/8A/rBEeqFv84CWAQ5EkAABGYKWgS_s947.jpg)
Hata Kwetu Wapo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Hata Kwetu Wapo - Sam Wa Ukweli
...
wenye majungu na roho mbaya sio kwenu tu,
hata kwetu wapo
wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu ,
hata kwetu wapo
ukichukia sishangai
peace and love
ninajua binadamu ndivyo tulivyo ×2
ki uwezo sifanani nao ingawa wamenizidi age, wanadisi..
wanadai kinachofanya nilinge ni hiki kipaji Cha muzikii ×2
wamesahau Kama aliye juu mola ndie mpaji mgawa rizikii
Kuna wengine wanatamani wawe Kama mimi kwenye muziki
Ila Mimi bado najua wengi kwangu watasubili ×2
aah!!!
ukichukia sishangai
peace and love
ninajua binadamu ndivyo tulivyo ×2
wenye majungu na roho mbaya sio kwenu tu
hata kwetu wapo
wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu
Hata kwetu wapo
ukichukia sishangai
peace and love
ninajua binadamu ndivyo tulivyo ×2
kila siku mambo mengi yanatokea ni kweli sio kwamba nakuongopea
binadamu no wengi na wachache ndio wema
amini navyo kwambia ×2
unaweza kutenda kitu Bora kizuri
wengine wakapenda wengine ukawakera
Imani inaponza watu wengine sio wazuri
hata ukitenda jeema ×2
Ila Mimi bado najua
wengi kwangu watasubili ×2
aah!!
ukichukia sishangai
peace and love
ninajua binadamu ndivyo tulivyo ×2
wenye majungu na roho mbaya sio kwenu tu
Hata kwetu wapo
wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu Hata kwetu wapo
ukichukia sishangai
peace and love
ninajua binadamu ndivyo tulivyo ×2
weupe weusi
wapo
warefu wafupi
onaa ×2
unakula naoo
unalala naoo
wapo hata hapo ulipo wapo ×2
wamevaa ngozi ya kondoo kumbe chui wanajifanya marafiki kumbe maadui ×2
eeh!!
cheza nao mbali eeh
cheza nao mbalii eeh
cheza nao mbalii mbali mbali e e eh!
wenye majungu na roho mbaya sio kwenu tu
Hata kwetu wapo
wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu Hata kwetu wapo
ukichukia sishangai
peace and love
ninajua binadamu ndivyo tulivyo ×2
motion records ahahaa!!
Asante sana kwa bonge la beat
salobee
samu wa ukweli.