Kababaye Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kababaye - Chin Bees
...
at kind of music do you
want to listen to?HindiTamilTeluguPunjabiMarathiGujaratiBengaliKannadaBhojpuriMalayalamUrduHaryanviRajasthaniOdiaAssamese
You have 5 of 5 Songs left.
Listen with no limits on the JioSaavn app.
Get JioSaavn
I Have JioSaavn
Kababaye Lyrics

Kababaye
Kababaye
NA
Kababaye Song Lyrics
Kababaye
They call me kababaye
Kababaye
Thay call me kababaye
Ka mazingaombwe nigga
Kama mazingaombwe nigga
Nazisimamisha dede
Waki pause me na play
Speed kama kwenye plane
Kwenye pesa si delay
Unstoppable nigga
Nahenya ma nigga
Niweke mambo Ok
Mahali pazuri ni stay
Michongo so na pay pay
Ubongo wangu heavyweight
Kwenye ramani sipotei
Kile usichoweza push
Ndo nakipush everyday
Bad man on the way
Nawabana kila day
Nazima vijiji na miji yote chin bees on air
(Hook)
Navyozi switch swaga
Nigga wanadhani rahisi
Wanabaki wakidiss
Lakini bado naona peace
Nachokifanya hawafanyi damn!
Ndo nawaficha kichizi
Wanabaki Waki please
Slow down chin bees eeeh!
Kababaye
They call me kababaye
Kababaye
They call me kababaye
Ka mazingaombwe nigga
Kama mazingaombwe nigga
Nazidi tekenya yolo
Mada kuna hizi dollar
Nawaficha kila mara
Solo ka diblo di bala
Napenya kila pahala
Mchezoni natawala
Na tena niko imara
Corner zote me kinara
(Hook)
Na hustle mpaka nilee
Michakato ikae byee
Nazidi sukuma mawe
Michakato ikae byee