Gusa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Baas fanya kama unagusa ...
Baas fanya kama unagusa ...
Unavyo whine my love you drive me crazy
Unavyo panda na kushuka girl you blow my mind eeh
Kona zote zimenibamba kwa manjegeka mpenzi
Usije ukaniyeyuka kisa money mbby (Mercy na Liwashi mtanicheka)
Baas fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Ah tapaka chini girl, hakuna ubaya
Mami waonyeshe umbo la kiroho mbaya
Unakata kata mpaka
Bees naritaya
Miko ya kikonkodi mama uko fire
Na unavyo nyumbulika uko flex yeah yeah
Mpaka mtu mzima anasimama dede
Kwako mami ndo nishatuliza pepe
Kwako mami ndo nishatuliza
Baas fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Girl unanipa vitu moto moto
Ambavyo sijawahi pewa before
Namu nishadata kwako
So mpenzi usinirushe roho
Baas fanya kama unagusa, hivyo vyote ruhksa
Baby bend down, na ufanye kama una susa
Kwako nishapepeta mazima mami uya
Kwako nishapepeta mazima mami uyee
Baas fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Mami nyumbulika, nyumbulika
Kama ni shughuli mami shughulika
Nyumbulika, nyumbulika
Kama ni shughuli mami shughulika
Nyumbulika, nyumbulika
Kama ni shughuli mami shughulika
Nyumbulika, nyumbulika
Kama ni shughuli mami shughulika
Baas fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Fanya kama unagusa gusa gusa
Beiby umenibamba
Girl unanipa vitu moto moto
Ambavyo sijawahi pewa before
Namu nishadata kwako
So mpenzi usinirushe roho
--- www.LRCgenerator.com ---