Kwa Mrombo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kwa Mrombo - Whozu
...
kiruuuu s2kizzy beib iiih tokatokatoka Whozu
Chorus
Kwa Mrombo eh
Kwa Mrombo eeh
kwa Mrombo eh
kwa Mrombo ita boda twende
kwa Mrombo eeh
kwa Mrombo choma nyama kula eh
kwa Mrombo eeh
kwa Mrombo wanyama nyama nyama
Verse 01
(Zi mpaka zi mpaka zi) ×4
Naamka asubuhi na usingi zi
naenda kunywa chai ya tangawi zi
na kitafunio cha maanda zi
amenikataa mimi man zi
Hook
kwan kunguru na khanga mzuri nani?
mzuri khanga mwenye madoa
mmmh eh mzuri nani iyee?
mzuri khanga mwenye madoa
(ebe ebe ebere eh eh
ebe ebe ebererere)×2
pandisha mayeno pandisha mayeno weh mayeno mayeno
pandisha mayeno pandisha pandisha weh mayeno kkk
Repeat Chorus
Verse 02
eh Tuna yabambia machine reh alooh
kama hujachangia usisogelee sepa
tunakunywa bear mavene jere
Na kujenga tutajenga pia labda uzee
Repeat Hook
Repeat Chorus
eeeeeeh eh
s2kizzy baby
eeeeeeh eh
Whozu
pandisha mayeno pandisha mayeno weh mayeno mayeno
pandisha mayeno pandisha pandisha weh mayeno kkk
pandisha mayeno aih mayeno pandisha pandisha mayeno pandisha mayeno mayeno