
My Chunun ft. Cliv Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2025
Lyrics
My Chunun ft. Cliv - GENIUSJINI X66
...
nasema jina lako lipo moyoni,
my chunun,
Ila machoni sikuoni,hvi huruma HAUONI ×2
Yaan sas sio usingizi,nasahau namba za Wana napiga Ya kwako
unanipa uchiizi,umeharbu medulla aaah blongata
hujamiss ndizi
Mimi kwel nimemiss kweli tu ya kwako,
mezani tu mbili,sahani moja na nyingine aah ya kwako
.......
ai yoyoo nielewe mmmh nielewe
nasitaki thibitsha limekwisha penzi tena siwezi lishwa au kulambishwa óooh kulishwa yaan kujipikilisha aah kutotisha ili mbna linanitisha mmmh
na kama uhakika kwenda Sina uhakika ka nitafika kweny hii vita sas Nan wa kunishika we ndo Wang my escorter mmmh
mbn mwanzo ulisema kwamba hutoniacha
utakuwa wa kwanguuu mbn sàs umeniaacha yaan peke yanguu
nishajitamba kwa wanangu kwamba wewe ndo pacha wanguu
umeniacha dilemmaaaa yaan peke yanguu..
(CHORUS)
Nasema jina lako lako lipo moyoni,
my chunun,
ila machoni sikuoni,
hv huruma huoni,×2
Yaan sas sio usingizi,nasahau namba za Wana napiga Ya kwako
unanipa uchiizi,umeharbu medulla aaah blongata
hujamiss ndizi
Mimi kwel nimemiss kweli tu ya kwako,
mezani tu mbili,sahani moja na nyingine aah ya kwako....
GENIUS JIN...
another one
tell me your boyfriend names
I need to know this well
'cause you changed my life
now you freeze my heart
vitu ulivyofanya huonii
Haja zako nikakidhiii,uka take easy
why bhana
You play me like Messi,umeshindwa ficha nyetii,imekuwaje ety óooh mamaa óooh
I feel like lost my name
I don't where i put my shame
choice you'll live or die MY CHUNUN óooh my
Maan nmekosa mapenzi,kwa mtu niliemuenzi
kuishi tena mim siwezi CHUNUN
( CHORUS )
nasema jina lako lipo moyoni,(lipo moyoni)
my chunun(MY CHUNUN)
Ila machoni sikuoni,hvi huruma HAUONI ×2
nasema sas sio usingizi,nasahau namba za Wana napiga Ya kwako
unanipa uchiizi,umeharbu medulla aaah blongata
hujamiss ndizi
Mimi kwel nimemiss bhan tu ya kwako,
mezani tu mbili,sahani moja na nyingine aah ya kwako
--------