![New ft. Bruce africa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/19/9838ac5347754c2faac2aba33b1bb6bc_464_464.jpg)
New ft. Bruce africa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
New ft. Bruce africa - GENIUSJINI X66
...
NEW(GENIUSJINI X66 FT BRUCE AFRICA
GENIUSJINI X66
Your body right,sio ya kuspend one night
acha nisake doo do
nikutoe bongo twende Nai
Ndo maana tunafanana,
Ina maana tunapendana,
sawa we ni control Nipeleke taratibu mwana kondoo
me fujo sijazoea mama, nikikuudhi calm down
we ni control,lala kifuani kama pono,
na vita bila zana Bure, nikikuudhi I'm sorry
nikiamkaa, nataka nikuone upo wapi my beb,
my converter yeah, tell me how are you wake up ,ndoto gani nzuri uliota kwa our bed,my converter.(my beb)
I see you are new, everyday new,
you give me new, something new,
nakuona kama new, huchoshi new,
mapenzi yako new, hauchuji new
I see you are new, everyday new,
you give me new, something new,
nakuona new, huchoshi new,
mapenzi yako new, hauchuji new
BRUCE AFRICA
kama ni mapenzi ya kubana hapana,
kwako nilifata nilichokosa
kule usichee oh my gal,
na kama tuko wengi
nieleze maana moyo wangu
nikija kujua utaniumiza my gal
your body sweet like wine,I swear gal you are so fine
ukinitenda nitadie
we ni kama kisiwa Nina baliiizi,
deep down love unayonipea,
mama sita sinyorita tucheze fair
nikiamkaa, nataka nikuone upo wapi my beb,
my converter yeah, tell me how are you wake up ,ndoto gani nzuri uliota kwa our bed,my converter.(my beb)
I see you are new, everyday new,
you give me new, something new,
nakuona new, huchoshi new,
mapenzi yako new, hauchuji new
I see you are new, everyday new,
you give me new, something new,
nakuona new, huchoshi new,
mapenzi yako new, hauchuji new
.........