Kamtu Remix ft. Kusah Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Kamtu Remix ft. Kusah - GENIUSJINI X66
...
Fine girl,i need one kiss when you wake up, your my fine girl you alway in my mind yeah
this a nice girl is the beauty even without make up, your my gift thanks to jah for the blessing
mkiona nanenepa, me navimba ni haka kamtu
Mkiona sionekani nimefichwa na haka kamtu
Nakajengea sanamu. mkaone. mkaone, mkaone
Ntakachora na tattoo, mkaone, mkaone, mkaone
..........
ooh, ayeee, na kusah tena, yii
Haka labda kameniloga, maana so bure
Hilo huba analonipa linanichanganya
Labda dawa amekoroga, maana yamenoga, penzi flani la kukologa na manyamanyama
Mkiona nanenepa, me navimba ni haka kamtu
mkiona sionekani nimefichwa na haka kamtu
Nakajengea sanamu,mkaone,mkaone, mkaone
Ntakachora na tattoo, mkaone,mkaone, mkaone
Hakana maringo na nikarembo, katoto cha watu na hakajishaui
Yani ndondondo si chururu, ndege kwa urimbo nimetulia tuli
........
Mtaliban01