![Maua ft. Mambo Brown & Siso](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/29/be2486e109074d968f6c40677773c2a9H3000W3000_464_464.jpg)
Maua ft. Mambo Brown & Siso Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2025
Lyrics
Najua nawe wajua
Nakupenda we mrembo kama ua
Najua nawe wajua
Nakupenda we mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo na unajua
Nita tangaza ili
Wajue ya kwamba
Ni wewe unanichanganya
Iwe msimu wa mvua
Wala wa jua
Chochote unataka nitafanya
Nitakudekeza nitakubembeteza
Nahapa juu ya mwezi nyota
Unavyo fanya mimi nanona
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo na unajua
Na me nataka kuwa nawee eeh
And I don't care what nobody say
Ua lisinyaukee eeh
Juu kila siku me hukuwaza (yeaahh)
Nilimwagilie maji
Nilinyunyuzie ndani
Nilipalilie
Nilishughulikie-eh-eh-eh-eh-eh-eh
Mdogo mdogo
Sinionyeshe kisogo
Nionjeshe kidogo
Usinibebe ndogo
Najua nawe wajua
We mrembo kama ua
We mrembo kama ua
We mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembo kama ua, mrembo kama ua
Mrembonaunajua
Mrembo na unajua