![Sheri ft. Azmah Tides & ItsYaba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/24/29b89c71463345b7aa8c9535ff4cc4ae_464_464.jpg)
Sheri ft. Azmah Tides & ItsYaba Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Come through I'll take you to a place
You've never been, been before
Come through I'll make you feel a feeling
That you've never felt before
Ukitaka tiki taka
Twende tiki toko
Unataka mi nataka
Na mimi si kidogo
Twende far na wewe
Kitoko eh mwana wa mama
Tuzidi paa na wewe
Sheri wa kwae mama
Unyo unyo tumechill
Ufuoni bila shaka ni faraja
Tuko makini no stress
Itisha unachotaka ah
Madafu kapuni mi nawe mbavuni
Sinaga haraka
Mchecheto wa nini kimwali tuliza
Tuliza ka raha aah
Twende far na wewe
Kitoko eh mwana wa mama
Tuzidi paa na wewe
Sheri wa kwae mama
Twende far na wewe
Kitoko eh mwana wa mama
Tuzidi paa na wewe
Sheri wa kwae mama
Eh, Eh, Eh Eh
Eh, Eh, Eh Eh