ASANTE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Asante
Yeah
Umetenda mambo makuu bwana
Ndio twa kupa sifa
Umetutendea mema Kwa mkono wako wewe katuweka
Umetenda mambo makuu bwana
Ndio twa kupa sifa
Katu weka
Katu Linda
Wewe mwaminifu
Twa sema
Asante asante twaleta sifa zetu kwako bwana
Asante asante pokea sifa za myoyo yetu
Asante asante twaleta sifa zetu kwako bwana
Asante asante pokea sifa za myoyo yetu
Umetenda mambo makuu bwana
Ndio twa kuinua
Eeeh
Umetutendea mema kwa neema yako twa shukuru Yahweh
Umetutendea mema bwana
Twa kupa sifa katuweka katulinda kwa neema yako asante
Asante asante twaleta sifa zetu kwako bwana
Asante asante pokea sifa za myoyo yetu
Asante asante twaleta sifa zetu kwako bwana
Asante asante Pokea sifa za myoyo yetu

Pokea sifa Bwana twaleta sifa