![Mwaminifu (Live)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/18/07795a0a0bba4313ae1a43ff791918e9_464_464.jpg)
Mwaminifu (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wewe ndiwe Mungu
Mungu wa miungu
Unalosema linakuwa ndio
Wewe si mwanadamu
Hata useme uongo
Wewe ni Mungu mwaminifu
Wewe ndiwe Mungu
Mungu wa miungu
Unalosema linakuwa ndio
Wewe si mwanadamu
Hata useme uongo
Wewe ni Mungu mwaminifu
Ulisema kuwa hutaniacha
Nami nimeona mkono wako
Nikiwa kwako mimi sina shaka
Ukisema kweli unatenda
Wewe ni mwaminifu Bwana
Wewe ni mwaminifu Bwana
Wewe ni mwaminifu Bwana
Wewe ni mwaminifu Bwana
Ahadi zako kweli
Na neno lako li hai
Nimekuona maishani mwangu
Umenipa uhai
Furaha na Amani
Kweli wewe ni mwaminifu
Ulisema kuwa hutaniacha
Nami nimeona mkono wako
Nikiwa kwako mimi sina shaka
Ukisema kweli unatenda
Ulisema kuwa hutaniacha
Nami nimeona mkono wako
Nikiwa kwako mimi sina shaka
Ukisema kweli unatenda
Wewe ni mwaminifu Bwana wewe ni mwaminifu Bwana
Wewe ni mwaminifu Bwana wewe ni mwaminifu Bwana
Siku zangu zote
Nitakutumaini wewe
Nitakutegemea Bwana
Nitakubariki eh peke
Siku zangu zote
Nitakutumaini wewe
Nitakutegemea Bwana
Nitakubariki eh peke
Siku zangu zote
Nitakutumaini wewe
Nitakutegemea Bwana
Nitakubariki eh peke
Siku zangu zote
Nitakutumaini wewe
Nitakutegemea Bwana
Nitakubariki eh peke
Ulisema kuwa hutaniacha
Nami nimeona mkono wako
Nikiwa kwako mimi sina shaka
Ukisema kweli unatenda
Wewe ni mwaminifu bwana wewe ni mwaminifu bwana wewe ni mwaminifu bwana