Niweeh Live (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Niwe
Wewe wastahili utukufu
Wastahili sifa zote kwakuwa wewe Bwana
Nime kuja kwako kuleta sadaka zangu
Heshima na ibada
Pokea ewe bwana
Niwe unatawala milele
Unatawala milele
Niwe niwe
Wewe ni Mungu wa milele yote
Mungu wakati wote
Hakuna kama wewe
Unatawala kwa nguvu na mamlaka
Uwezo na ishara
Hakuna kama wewe
Niwe unatawala milele
Unatawala milele
Niwe niwe
Mfalme wangu, mlinzi wangu
Hakuna usiloweza wayatenda yakushangaza
Ufalme wako niwa milele
Niwe unatawala milele
Unatawala milele
Niwe niwe
Niwewe niwe unatawala milele
Niwewe niwe unatawala milele
Niwe we niwe unatawala milele
Niwe niwe