NAMPEZA Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Wikendi imefika nimechill, niko mtwapa klabu
Kapatana na mtoto mswahil,mkwela ndani ya klabu
Kaagiza nikasema leta bill,pochi nene kuna vile mekufill
Shawty akapiga shots tatu,kwenye floor akaruka na kubanju eh
Moto kwa arena,anavozungusha
Watu wanatizama kiuno chake macarena
Nimesaka sababu ya kumwacha na sina
Na ukimwona akipita mwambie mina
(mpeza)
Mwambie mina,tulia mamii
Kifika kwangu unatulia mamii na pesa sio shida utatumia my money
Inside, mi sitoki niko inside
Pesa nishapata ziko inside
Nimeteka manzi ako na big size
Leo tunakesha mpaka midnight
Kila hour ni ma missile
Vela tunapiga ni a king size
Hakuna muda wa kupoteza dada sogea karibu cheza
Moto kwa arena,anavozungusha
Watu wanatizama kiuno chake macarena
Nimesaka sababu ya kumwacha na sina
Na ukimwona akipita mwambie mina
(mpeza)
Mwambie mina,tulia mamii
Kifika kwangu unatulia mamii na pesa sio shida utatumia my money