sialo ft. jessy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Sauti ya dunia imetokea madende
Metulia niko chini la embe
Niko na familia,I'm chilling with the best
Na kama wenya vaibu basi itsa useme
Wanasonga na top Gs
Wanasonga na top chicks
Wanazoza na vitu moto moto lazma u notice
Ma hater wanabonga bonga sana mimi ndo topic
Narusha manoti usiku mzima,rende imefika na benzo na beamer
Na mizinga haitoshi na lazima niposti
Niko na kikosi ya
Wwarembo gheti kali kabisa
Mmachali na wanasababisha
Tucheze siku nzima tukimaliza kisha
Mitungi ya divai,kando kando mashisha
(lakinyola msialo, lakinyola)
Huku tunaparty mchana na usiku
Na siku bila isukuti sio siku
Vakhongo na vadoro,we give it all
Nitacheza cheza cheza mpaka niwe majivu
Makali na beer chini ya mnazi si tuko mishe mishe
Watoto wazuri wanataka madhambi basi bro wapishe
Hatutaki mapicha picha,sijipate kwa televishen
Straight from west,nimekuja hapa tu ndo niwakilishe
Hakuna kusleki sleki,kila mtu anaget down
Watu wamebleki bleki,weza dhani ni break dance
Kuna naliaka kuna akinyi
Kuna wa dera,kuna wa mini
Wote baby face na wanakaa tu ma teeny
Shit so lit adi mi siamini
Warembo gheti kali kabisa
Machali na wanasababisha
Tucheze siku nzima tukimaliza kisha
Mitungi ya divai,kando kando mashisha