No Stress Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
No Stress - Rayvanny
...
Ayolaizer
Yale mambo ya kulia bay bay
ku ikosesha usingiz bay bay
kila siku kukubembeleza bay bay
Mungu kanipa mwingine
Nilijawa machozi nikajihisi kufa
Mwili ukakonda nikabaki mifupa
Yale machozi yote yamefuta
Moyo wangu mali yake nimempa
Jamani kumbe ukipe ukipe ukipendwa vizur hata mwili unakuja
Ukitu ukitunzwa vizuri hata rangi inakuja
Yani wakikuhendo vizuri hata nuru inakuja
Asante umenipenda angeniua yule
Saivi sina stress mambo supa
Akinyari kwenye kwenye kota nashuka
Pole ex na utajuta
Kurudiana na we bola kufa
Basi honney nipost acha waisome namba
Tena nichumu acha waisome namba
Fanya unikumbatie acha waisome namba
Wenye wivu wote acha waisome namba
chorus