Ataniua ft. Phina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Ataniua ft. Phina - Rayvanny
...
Sijui nina mkosi gani nyumbani kumekuwa vitani hatuelewanii...
Hivi nimekosa kubwa gani sina thamani why weee.....nateseka jamanii..
mmmmmh eee
najiona mjinga wa mapenzi kwanini sichoki kumvumilia anitendaa ila bado namng'ang'ania
najiona dhaifu wa mapenzi kilasiku siishi kulia anajua nampenda ndo maana anafanya naumia...
nikipiga simu anakata namsumbua,nikilalamika anayazua mwepesi kuchukua hatua juzi kanipiga nusu ya kuniuwa
hospitali zote wananijua nishashonwa alipopasua majirani kutwa wanaamua uvimbe ukizidi mwenyewe najichua
Kama kakuchoka basi urudi nyumbani (ah ah ah ataniuwa)
unang'ang'ania mateso ya kazi gani (ah ah ah ataniuwa)
haiwezekani kila siku tu kama mpo vitani(ah ah ah ataniuwa)
ukilia dada nakosa amani (ah ah ah ataniuwa)
INSTRUMENTS
kwanini unalia hakusikii unabembeleza lakini hakuzimii
kwanini umeweka picha dp lakini bado akupandisha BP
Nakupongeza kwa mengiii dada uliovumilia ata sura yako ya upole ya zamani imeanza kufifia
utui zigo la penzi dada una roho ya ngamia,uishi kwa vipigo moyoni una amani kwenye nyumba ya bondia
Nikikutazama dada angu siishi masikitiko,juzi kakupiga sikio leo umevimba jicho
ukiyaendekeza mapenzi unapokwenda siko, bora urudi nyumbani kukiepuka kifoo
Najiona mjinga wa mapenzi kwanini sichoki kumvumilia anitendaa ila bado namng'ang'ania
Najiona dhaifu wa mapenzi kilasiku siishi kulia, anajua nampenda ndo maana anafanya naumia
kama kakuchoka basi urudi nyumbani( ah ah ah ataniuwa)
unang'ang'ania mateso ya kazi gani?!(ah ah ah ataniuwa)
haiwezekani kila siku tu kama mpo vitanii( ah ah ah ataniuwa)
ukilia dada nakosa amani (ah ah ah ataniuwa)