Illuminati ft. Darassa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Illuminati ft. Darassa - Rayvanny
...
Aargh..chui..eeenh
Chui chui chui..eeenh..shiii..eeh
Ayee ayee aye
S2kizzy baby
Zombie,,zombie..ayayayayayaa
Walisema nitakufa na msuto
Hela zangu zitakuwa za mkopo
Sitopata nyumba sitopata mtoto
Hawakujua nakuja kuwasha moto
Sasa Nina pesa ka nyoko
Mabatani nazungukwa na watoto
Leta mbuzi acha kiti moto
Niko na mzenji itakua changamoto
(Bata linaliwaga na sisi
Bata linaliwaga na sisi wewe)*4
(Ukiwa mpole sana watakupanda kichwani
Ukiwaogopa sana watakunyima amani
Ukuwapenda sana watakushusha thamani
Hapa unyama unyama hatuchekagi na nyani
(Kama illuminati illumina*3yani roho mbaya*1)*2)chorus
Vuvula vuvushe if you what I meant
Usichekee umbwa itakufata msikitini
Tena Assalamaseleku shulaghalaghin
Ukienda home wambiie Leo umekutana na Jin
Hivi hawa watoto,Fanya wamesahau,Mana mi nachukulia ni madharau,Hi so kamari ya kuja kupanda dau,mwanzo shut up kimya we bata nyau
Mungu nisamee i got blood in my hands
Kill this rapper say i not my friend
Wanakuja hapa na sura za kupretend
Ukigeuka wanachange wanakua shenzi
You see I got call from Rayvanny
Na nasema wako mtaani
mahaters wako hoi taabani
You know I get the job done
Let the city burn I say order from Mr burudani
Bata linaliwaga na sisi
Bata linaliwaga na sisi wewe*4
Chorus
Kila siku walidhani watapata wao, sasa zamu yetu
Sir God ametupa tunavimba mbele Yao,huu ni muda wetu
Kila siku walidhani watapata wao,Sasa zamu yetu
Tunapendeza tunapendwa mpaka na wapenzi wao,huu ni muda wetu
Mguu wa kuku,haturushi ngumi
Kama Godlove msafara gari kumi
Tuna pesa chafu chawa na kunguni
Ndinga ziko parking kama kwa lugumi
hhhh..Bata linaliwaga na sisi wewe..chuii