Naoa ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Naoa ft. Alikiba - Rayvanny
...
INTRO
Yeah!
(Aah-aah) Chui (ooh-ooh)
(S2kizzy baby)
Naoa ye', naoa ye', naoa ye', naoa ye', naoa ye', ah-ah-ah
VERSE
Hanaga CV ya kuachika, aliwaacha wote alokuwa nao before
Mikono yake sio ya kupika, ni kunishika, shika na kunihesabia dough
Kuku tetea ametulia, show-show time ona anavyopanda jogoo
Mahari kwao nitatoa na mia, wakitaka ng'ombe nitawaongeza kondoo
PRE-CHORUS
Una balaa, baby, una balaa
Una balaa, baby, una balaa
Una balaa, baby, una balaa
Hata wakikataa, baby we ni kifaa, iyoo
PRE-CHORUS
Utamu nipunguze ama niongeze, baby (aah, ongeza)
Mahaba nikupe yote ama yanatosha, baby (aah, baby, ongeza)
Utamu nipunguze, niongeze, baby (aah ongeza)
Ndizi na nini, muhogo, baby (aah, baby, ongeza
CHORUS
Naoa, eh-eh, naoa ye'
Naoa, siwadanganyi, naoa
Naoa, eh-eh, naoa ye'
Naoa hiki chombo, naoa
Naoa, eh-eh, naoa ye'
Naoa, siwadanganyi, naoa
Naoa, eh-eh, naoa ye'
Naoa hiki chombo, naoa
VERSE
Mi' nimemisi penzi nte...?
Sio kifisi, fisi mahaba ya Kisomali, oh
Ooh, wajua mimi siwezi kukuacha wewe
Nataka uishi na mimi, usiniache, nisikuache, oh-oh, please
Ah-ah-ah, nimetandika busati, keti kwenye roho, oh
Mkali kuogesha marashi, eh, oh
BRIDGE
Kama unakuja, kama una go
We' na malaika, Kurwa na Dotto
Yanayonivuta, mahaba yako
Mama nakuita uje Kariakoo
CHORUS
Naoa ye', naoa
Naoa ye', naoa
Ali, naoa, naoa
Naoa ye', naoa
Naoa ye', naoa (ah)
Naoa (naoa yeye) ye', naoa
Ali, naoa, naoa (oh)
Naoa (naoa yeye) ye', naoa
OUTRO
Oh, naoa ye, eh-ih
Oh-whoa, oh, oh-oh
Yup!
Ali leo naoa ye', eh-ih
(Kamix Lizer)