![Na Nani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/24/844febe3b0f5452d89189f0f46d7428bH3000W3000_464_464.jpg)
Na Nani Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Na Nani - Udootz
...
Aah! sawa kwenye nyuki wengi ndo
kuna asali,
ila mi yote sawa nikakubali chukua bila
tahadhari
Akanidanganya vibayaaa nikazani maji
kumbe tindikali
Sasa naona mapenzi mabaya cha ajabu
wenngine wanajivinjali.
Kweli mapenzi vingi yanakatisha nakumbuka muda kwake nilojitoaaaa
kuna mabaya yanafanana na future
naona dhahiri kwamba ananikomo,
Nikisema ugomvi nimeanzishaaa eti
ninyamaze hatakama ananikosea Kusudi nahodha jahazi nazamisha kisa
nimezama na sioni we kunkomboa
Oo njitahidi mwagilia shamba ni dhahiri
nitavuna nachokipandaaa
Kumbe la hasha!tofauti na mwenzangu
anachowazaaa
kweli ukipata naekupenda mkapendana
mfungate ngangangaaaa
Sijui Wangu hajazaliwa ama alikuwepo
na keshadanjaaaa
Ah hivi mi ntapendwa na nani(na nani)
Ntapendwa na naniiii ( na nanii)mh
Ah sijui ntapendwa na nanii mapenziii
(na nanii)
Ntapendwa na nanii ( na naniii)ooh ooh
Yanini nijae mate na ndimu sio yanguu
kwaniniiii
Eti mie nikufate kivuli nikugande
mwiliniiii mhb
Alisema mimi wake tena ya kwengine
kwa niniiii
Toka mie anipate eti ajaona kama mimi
Ah ila sio siri nikipenda napeendaa
Japo nashindwa kuimiri Haya mabayaa
anayontendaaaa
Na yanini kujichosha akili mi mwanakwenda nakwendaaaaa
Na mapenzi yanguu yalokithiriiiii ndo
yanayontesa yanaaaaaa