![Mimi Huyu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/30/e898d8f8843f4238aee84a407f6b9589H3000W3000_464_464.jpg)
Mimi Huyu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mimi huyu na akili zangu hizi nikipenda tena labda mniroge Maaninaa!
Aaah udoo mmmmmm aaae
Ah kumbe mapenzi yanawenyewe
Bora nikae pembeni niagize nileewe
Ah mapenzi yanawenyewe moyo!
Bora niwe mtazamani tuwaachie wenyewe
Ooh mapenzi hayana tuzo me nijue
Eh huku kupendapenda me yatakuja yaniuwe
Tena siyawezi asa kwanini niumiee!
Nitafute pesa na nikizipata nitumiee
Ah nishamzidi sharkhan kubembeleza vizuri
Sijui kitu gani kinachompa jeuri!
Labda me wamwakani huu mwaka sifuri
Or nimtupie subiani tuelewane vizuri
Mmmmmmmm
Mimi huyu Na akili zangu hizi
Ah nikipenda tena labda mniroge
Mmh eti mimi huyuu Na bichwa langu hili
Ah nikipenda tena labda mniroge Maanina!
Instrumental
Mapenzi yasasa sio kama zamani
We upo penzini ila huna hata amani
Nimemaliza kurasa kumsifia mwandani
Kama mapenzi ndio haya bora sheria kiganjani
Kwenye mapenzi kama nyumba sakafu nili sakafia
Nanyuzi 90% shoo sio kupapasia
Hadi mupenzi! Anasema mmmh sikuachi nakuzimia
Kumbe muongo ndio wale wale tuu oooo!
Ah nishamzidi sharkhan kubembeleza vizuri
Sijui kitu gani kinachompa jeuri!
Labda me wamwakani huu mwaka sifuri
Or nimtupie subiani tuelewane vizuri
Mmmmmmmm
Mimi huyu Na akili zangu hizi
Ah nikipenda tena labda mniroge
Mmh eti mimi huyuu
Na bichwa langu hili
Ah nikipenda tena
Labda mniroge Maanina!
Instrumental