Magetoni Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Magetoni - Billnass
...
rafiki zako wanapenda soga na story mbaya
naskia wananiponda ety me ni mbaya
maneno mengi naskia,mengine kunizushia,michongo kunibania
wanateseka wanaumia,atankipata kabia,wanaona nawavimbia
kisa magetoni,me mtoto wa magetoni)×4
kubeba lawama kwetu kawaida
unaweza kuitwa mwizi ata kama hujaiba
tushapata hasara kabla ya faida
na riziki Mungu akitoa wanapanga kuziba
Oyahh nomaa,ulizamwa na mboga kwenye Kona
Niko na wanangu wa sembe Dona
hapa moja tunachoma.
Billnass billnass
maneno mengi naskia mengine kunizushia michongo kunibania wanateseka wanaumia atankipata kabia wanaona nawavimbia
kisa magetoni me mtoto wa magetoni) ×4
oya wanangu wa geto tujidai tujidai kwani nani anatudai
oya wanangu wa geto tufurah tufurah kikubwa uhai