Mazoea ft. Mwana Fa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Mazoea ft. Mwana Fa - Billnass
...
Hawa rappers wana rap au wanafanya rehersal
Mbona Kila ngoma diss ama wanafanya mipasho
Ninety nine degrees nikiwashoot tu wanakaa
Wanajiita ma MC's na kurap hawajakomaa
Pole kwa marapper fake wanaorap rap katoon
Hii game sasa imechange mtaraprap bafuni
Cuz mnarap rap kiuni na mnarap bila kubuni
So mtarap sana kapuni ahah tena so mtarap sana kapuni. Bill Nass Bill Nass Bill Nass
Akili zingepimwa uzito msingefika hata gram
Badala ya kuwaza kesho eti mpo busy na instagram
Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV
So usijue sana kama huna hata plan B
Tell dem me no fear no one me no fear no man
Lakini bado ni one
Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV
So usijue sana kama huna hata plan B
I say tell dem eeeh eeh Mazoea
Waambie wasituzoee kabysa mazoea
Kuzoeanaa
Waambie wasituzoee kabysa mazoea
Kuzoeanaa
Hatutaki mazoea mazoea kuzoeana
Mi sitaki mazoea mazoea kuzoeana
Mwandiko mzuri sio lazima mwana
Jua kuandika tu mengine tutaona
Haina mbwembwe sana
Tuhesabu likizama
Inadi pay
Kazini muda wa kijinga hatuna
Huu mji mkubwa una vituko wakishangaa waambie wataliwa
(Kwani huko walipotoka hawakuambiwa huu mji hatari)
Kila kitu ni biashara hata jeneza na sanda yako
Usipende amani wakati wa vita
Utakufa mapema unafuata yasiyo kuhusu
Kaungane na akina mama
Ni ajabu na kwere ila longtime me
Am watching Zinaitika kimya
I cant see a nigga fuxxn
Kila mtu afe kifyake ndo maisha ya mjini
Kuzoea zoea watu mwisho utazoea majini
Tell dem me no fear no one me no fear no man
Lakini bado ni one
Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV
So usijue sana kama huna hata plan B
I say tell dem eeeh eeh Mazoea
Waambie wasituzoee kabysa mazoea
Kuzoeanaa
Waambie wasituzoee kabysa mazoea
Kuzoeanaa
Hatutaki mazoea mazoea kuzoeana
Mi sitaki mazoea mazoea kuzoeana
Aika (ahaa)
Aika (ahaa)
Aika (ahaa)
T Touch Aika
Aika (ahaa)
Aika (ahaa)
Aika (ahaa)