Tatizo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Tatizo - Billnass
...
(Daxo Chali)
Sio, sio kwamba mi nina wivu hivyo
Ila tatizo kwamba ulileta maringo Ukashindwa geuza shingo
Sababu sikuwa na mingle
Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto
Ughetto moja local, unadai ilivyo joto
Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto (msoto)
Ukataka toka na vibopa (Masonko)
Nikakosa pambio, mtoto wa ghetto
Ukanifanya mpaka nikaonekana mental
Pindi nadanda danda mambo hayajasettle (mambo hayajasettle)
Si ulitaka taka mali
Na mengine visivyo na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali
Si ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukae kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo,
Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Nasikia stori kibao, ? kibao
Wenye hela kibao
Sa mbona umeachana nao, hao
walionizidi kete
Wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche
Na ladha we unasahau
Nilivovisha kete naskia we ulicatch
Unataka tu mabesty haiwezekani eeh
Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge
Hapana mama siwezi
Najua we una moyo pia we una nafsi
Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
We una moyo pia we na nafsi
Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
Ulitaka taka mali na mengine visizo na hali
Ndo sababu haukuenda mbali Na mi rudi na hizo mali
Ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukae kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo
Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Mpya mpya mpya mpya mpya mpya mpya mpya
Ukurasa mpya, ukurasa mpya
Ukurasa mpya, ukurasa mpya
Ukurasa mpya, ukurasa mpya
Ukurasa mpya, ukurasa mpya
Tatizo ni kwamba nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo,
Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Tatizo ni kwamba na reason ni kwamba.
(Nenga)