![SIWEZI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/10/353cf8118c6e4f24a4fb0b6c498a125aH3000W3000_464_464.jpg)
SIWEZI Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Niliwaza nimpe nini
Nikajitoa Kumbe hanipendi
Figo moyo maini
Au kwa mangi nikajieke bondi
Safari ni ndefu nishachoka jamani amini
Maumivu ya moyo kutendwa kuteswa siamini
Ndo mana mapenzi sifagilii
Yote hayo ya nini
Uliniona poyoyoo
Eti Mimi kunguni
Ndo mana mapenzi sifagilii
Yote hayo ya nini
Uliniona poyoyoo
Eti Mimi kunguni
Bora niimbe au nicheze
Mapenzi siwezi
Bora nilewe nipige gambe
Mapenzi siwezi
Bora nilewe niimbe
Nilewe niimbe
Bora nilewe nipige gambe
Mapenzi siwezi
I love ma bebe ilikuwa zamani
Ushaniumiza we mapenz sitamani
Ukaniona bwege ukanishusha thamani
Uliniliza wee ukanitupa hadharanii
NA NDO MANA NASEMA
AYOYOYO
AYOYOYO
MAPENZI SHIKAMOO
YASINITOE ROH
AYOYOYO
AYOYOYO
Sikuwazii Tena nimeshasema no
Ndo mana mapenzi sifagilii
Yote haup ya nini
Uliniona poyoyoo
Eti Mimi kunguni
Bora niimbe au nicheze
Mapenzi siwezi
Bora nilewe nipige gambe
Mapenzi siwezi
Bora nilewe niimbe
Nilewe niimbe
Bora nilewe nipige gambe
Mapenzi siwezi
NGINDOOO