![Yote](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/03/27e36c6fb41b4c9c88b65dfef6d103cc_464_464.jpg)
Yote Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Oooooo
Ooooooooh
Oooooooooh
Aaaaaaaah
HUKU NIPO WAP
Mbona sipajui
Dunia ya ngapi
Mbona sielewi
Moyo wangu safi
Sina majeruhi
Kashaunda kamati
Kwake sipindui
Hivi mnaelewa mtima ukipenda
Ni sawa nzi kufa kwa kidonda
Mapenzi miujiza unapopenda
Yani ni dawa yanatibu na kuponya
Kwa huba lako nanenepa
(mimi huyo)
Si mkopo kunikondeesha
(mimi huyo)
Naraha zako zaniridhisha
(mimi huyo)
Sitamani hata kutoka
(mimi huyo)
Kisamvu cha kopo na kunde(yote yako)
Nguru papa peremende
( yote yako)
Embe dodo chonde chonde( yote yako)
Nikugande kama kupe
( yote yako)
Fanyeni fanyeni kafara zote za duniani
Kwake sing'oki kwa mikwara ya makatani
Na ivo sioni kunipora msidhani
Kwake tifu fifu joto tetemeko duniani
Nitetee nitetee shida uzikabiri
Uwe nyota mbalamwezi
Nimulike kizani
Furahani niweke nisiumie moyoni
Nidekeze deko deko kwa mbeleko mgongoni
Kwa huba lako nanenepa
(mimi huyo)
Si mkopo kunikondeesha
(mimi huyo)
Naraha zako zaniridhisha
(mimi huyo)
Sitamani hata kutoka
(mimi huyo)
Kisamvu cha kopo na kunde(yote yako)
Nguru papa peremende
( yote yako)
Embe dodo chonde chonde( yote yako)
Nikugande kama kupe
( yote yako)