![Ni wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/29/095981a1c9e94b9ba0c236bf5d69a769_464_464.jpg)
Ni wewe Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Shoga uliyoyaongea kwa masikio mawili nimeyasikia
Shoga unayonitendea kwa macho mawili nimejionea
Nilikufanya kama bestie
Rafiki yangu kipenzi
Changu chako kama twins
Nikakuonesha mapenzi
Tena za chini ya carpet
Ukazifanya zitrend
Yakwangu ukayaweka wazi
Ukumuogopa mwenyezii
Mi nilikuaminii nikakueka moyoni
Na nilivyo kuthamini bado siamini
Ndo kweli kikulacho kipo kinguoni
Na zimwi likujualo likikula hauoni
Kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe
Unaye nisema kwaubaya,kwaubaya kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe
Unaye nikeshea kwa waganga
Kumbe ni wewe
Ukituma makata ukituma msukule hauwezi niduru me
Na izo chuki zako kwangu kazi bure mola namuamini
Na hii brand yang kuipata sio bure ufanye kaz bidii
Utamaliza waganga chanika kivule
Mganga wa kweli mwenyezi
Mara Mbezi buguruni shida zako zote uko nami
Kila ukipatwa na Tatiizo chakula Akipiti me
Nikakuona wahubani ndugu zangu sikuwathamini
Wewe ndo udugu wangu kumbe ni shetani
Nilikuaminii nikakueka moyoni
Na nilivyo kuthamini bado siamini
Ndo kweli kikulacho kipo kinguoni
Na zimwi likujualo likikula hauoni
Kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe
Unaye nisema kwaubaya,kwaubaya kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe
Unaye nikeshea kwa waganga
Kumbe ni wewe
Kumbe ni wewe Kumbe ni wewe Unaye
Nisema kwa ubaya kwa ubaya Kumbe ni weweweeee..