![Labda](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/16/16/rBEehltMXDOAUbpgAADz5Ibd9Qo596.jpg)
Labda Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Labda - Billnass
...
Pphhhh Aaaah
(Uuuh uuh uuuh)
Anhaa I've never been loved deep like this (yeah yeah) aaah
S2kizzy baby (Nnenga)
(Billnass Billnass ×2) yeaaah oooh
Labda (labda) aaah aah aaah
CHORUS.
Labda nizikwe tu ×4
Nauona mwisho wetu hauna mipaka
Naiona future yetu inavofata
Naiona picha yetu inavyong'aa ng'aa ng'aa ng'aa (ng'aa ×4)
Labda nizikwe tu ×4
VERSE 1.
Kila nkimuomba mola (molaa)
Nijuu yako
Ila ndo vile ukiongea na molaa
Huwa ni siri yako
Zawadi za thamani siku hizi sikupi tena
Ahadi za chumbani mapenzi sitimizi vyema
Je ni kipi chema umenibebea mtoto
Lakini sikubebi vyema
Unadhani sikupendi tena
Au labda nishakutema
Unalaani hunitaki tena
Mana unafanya vitu fulani vinakuacha kuwa dilemma
Fii dukuadi yao labda ndo nyangema
Labda unaniona malaya ukidhani sikupendi tena
Labda nizikwe tu ×4
Nauona mwisho wetu hauna mipaka
Naiona future yetu inavofata
Naiona picha yetu inavyong'aa ng'aa ng'aa ng'aa (ng'aa×4)
Labda nizikwe tu ×4
Kila nkimuomba mola (molaa)
Huwa ni juu yako
Ila ndo vile ukiongea na molaa
Huwa ni siri yako
VERSE 2.
Natamani shida haata uzijue
Ili hata kwenye njaa usizingue
Yakiletwa mabalaa tuyajue
Ili wenye vijiba vyao viwaue
Nahisi nipo vitani na sina hata weapon