Peponi Amapiano Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2024
Lyrics
Peponi Amapiano - Malom blb
...
.....
Ah blb
Mmh aah
See
Maisha matamu ila mafupi
That's why sikuhizi naishi ninavyopenda
Huku Daresalaam nakaza buti
Kila ninacho muomba MUNGU anatenda
Ooh
Nahisi kabisa nitaenda motoni
Sijioni kabisa Nikiingia peponi
I wish nikifa Niende peponi
Ila nahisi nikifa nitaishia motoni
I don't want to die
I just want to be alive
aah
I don't want to die
aaah
I just want to be alive
....
Mmh
Shida ni kwamba napenda bebez
Napenda mipombe na kula mpepe
Aah
Usiku wa manane Nacheza yope
Ndio maana
Naogopa kwenda Peponi
Nahisi kabisa nitaenda motoni
Sijioni kabisa Nikiingia peponi
I wish nikifa Niende peponi
Ila najiona kabisa nikiishia motoni
I don't want to die
I just want to be alive
aaah
I don't want to die
Aah
I just want to be alive
Motoni ah ah
Peponi
Ah nana aah