Gere Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Gere - Malom blb
...
Beat
Ah Malom blb
Yeah yeah
See
Tuko wengi
Wenye shida za maisha
Zinautesa Moyo
Moyo Moyo
Yaani kwa mfano mimi
Kila weekend niko hapa
Ninaukonga Moyo
Moyo Moyo
Mh
Maisha yangu ni utata
Kula kwangu tu kwa mashaka
Mara moja moja nikizipata
Minakula Bata ooh
Mimi na wanangu Tunawaka
Kila weekend chaka to chaka
Ukitukosa sinza tuko tabata
Tunakula bata ooh
Bado Mungu Anatubless
Hadi shetani Anaona gere
(Aaeh aeeh)
(Shetani anaona gere)
nasema Mungu anatubless
hadi shetani Anaona wivu
(Aeeh aeeh)
(Shetani anaona wivu)
anaona ge
anaona ge
anaona gere
(Aeeh aeeh)
(Shetani anaona gere)
Anaona ge
anaona ge
anaona gere
(Aeh aeeh)
(Shetani anaona wivu)
Mmmh
See
Aah
Amini Mungu Anatubless
Yeah
Na bado Mungu Anatubless
Hata tunywe Dompo na Hennessy
Anatubless
Mh
Maisha yetu ni utata
Kula kwetu tu kwa mashaka
Mara moja moja tukipata
Tunakula Bata ooh
Mimi na wanangu Tunawaka
Kila weekend chaka to chaka
Ukitukosa sinza tuko tabata
Tunakula bata
Na bado Mungu Anatubless
Hadi shetani Anaona gere
(Aaeh aeeh)
(Shetani anaona gere)
Bado Mungu anatubless
hadi shetani Anaona wivu
(Aeeh aeeh)
(Shetani anaona wivu)
anaona ge
anaona ge
anaona gere
(Aeeh aeeh)
(Shetani anaona gere)
Anaona ge
anaona ge
anaona gere
(Aeh aeeh)
(Shetani anaona wivu)
Ooh noooh
Beat