Love song Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Kama nikiwa na njaa
Naomba niione sura yako boo
Huwenda nikashiba
Mola atuepushie balaa
Milile mie nibaki wako
kama ukiondoka nitashidwa
...
Yoh love is sweet
I love you sweetie
Tena umeninogea
yaani utamu kolea
You love is sweet
I love you sweetie
tena umeninogea
yaani utamu kolea
...
Girl you got me singing
A Love Song
(Aaeeh mimi na weweTupendane
mpaka siku ya mwisho Watu washangae)
...
Sileti longo longo
ili usije ukanitema
maana ulivo nidekeza
Nimezama Mazima
Umenivuruga ubongo
Ukinigusa tetema
Kweli umenikamata
Ukiniacha nitachina
....
Yoh love is sweet
I love you sweetie
Tena umeninogea
yaani utamu kolea
You love is sweet
I love you sweetie
tena umeninogea
Yaani utamu kolea
...
Girl you got me singing
a Love song
...
(Aaeeh mimi na wew
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Watu washangae)