Si Ulinikataa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Si Ulinikataa - Q Chief
...
si ulinizaa wewe ukanikataa (baba)
sasa iweje unaona me nafaa×2
kosa langu kosa langu
ni lipi baba×2
ulinikana tangu tumboni
ukamkana adi mama angu
nyumbani nyumbani wakamfukuza
shuleni shuleni wakamfukuza
wakamwita malaya kwa mimba aliobeba
yaani mimi jamani jamani jamani
miezi 9 ilipoada chini ya mbuyu nikazaliwa
mifuko ya rambo nikafunikiwa
ilibaridi isinipige
kwa pressure na mawazo mama angu mama angu mama angu akaiaga dunia mamaa
nalia nalia nalia mimi nalia nalia ukiwa wa mama angu nalia mimi nalia niacheni nilie