![Umaskini wangu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/69/08/rBEeNFqBiWCAMo3sAADZhXFaBRk930.jpg)
Umaskini wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2010
Lyrics
Umaskini wangu - Q Chief
...
umaskini wangu ndio umeniponza ukanifanya Mimi nikose mke,namuona mwenye nazo kathaminiwa nabaki Mimi nalia na Baba mkwe.
uvumilivu sasaumenishindra umenifanya sasa nitamke hadharan nimezama kwenye ndrimbwi la mapenzi,Kwa msichana mzuri mtoto wa rahisi,tatizo ni kwamba kuna vigwazo hal yngu duni ya umaskini isije kua vigezo huyo demu kunitenga mimi