Ukikaa Vibaya ft. Professor Jay Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Ukikaa Vibaya ft. Professor Jay - Q Chief
...
Nikimuona si namwambia njoo
Namwita njoo kisha namuogesha dozi
Na penzi lake nikilikosa nauza loo
Yani mtamu kama muhogo wa kuchona
Nazama kina kirefu vikitulia
Yani ni unyama fundi kajenga familia
Baby napenda kitanda kama fundi selemala
Na uwa anapenda sana kichwa chenye upara
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Chekecha chekecha mama chekecha
Ooh mama chekecha
Chekecha chekecha mama chekecha
Ooh mama chekecha
Njoo karibu mama husijisikie mpweke
Mimi sponsor wako nnaekufanya ucheke
Ringa ringa mtekemteke
Nakupa kilakitu kinachofanya udeke
Ujaja wote umenisha nakua zuzu
Unapochezea kichwa mi nachezea mzuzu
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Vile vitu vya unyago vya mila na desturi
Baby napenda kitanda kama fundi selemala
Na uwa anapenda sana kichwa chenye upara
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri
Ukikaa vibaya nakuweka vizuri