
Nampenda ft. Dj Seven Worldwide Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nampenda ft. Dj Seven Worldwide - Kayumba
...
Dj seven ft kayumba. nampenda lyrics
aaaaaaahhhhhh bboy..
bado nauhai nahema na sina moyo wa bandia....
haya maumivu unayonipa kiama cha kuhadithia...
kwa haraka zangu nilidema bora ningesubiria...
mi nimelowa chapachapa mwenzangu kashika njia..
kumbe nilizama kwa kuzani naogelea....
muungwa nikachutama cha uvunguni kufikia
yale alonifunza mama sio yanayonitokea...
nyuma nikaacha zana kichwa kichwa nikaingia..
bado hanifariji huku nashikwa na baridi
we mbona gaidi si wakunifanya haya
kwa macho naushaidi wenzangu wanafaidi
bure zangu bidii sio wakunifanya haya
mwambieni nampendaaa..............
bado navumilia
mmmmh aninyanyase sawa.........
bado navumilia
anajua nampendaaaa....................
bado navumilia
nitasubiriiii......................................
bado navumilia
aaaaaaah aaaahh
nazidi kumpatia japo yeye haoni
na nyiongeza namjazia afunge kibindoni
ila bado anisababishia homa ya tumbo ya tumbo
akikikilikiki penzi la kikumbo kikumbo
kikubwa sina la haba nakupa unachotaka.....unachotakaaa
majirani wanabwata umenilisha limbwata.....limbwataaaaa
kwenye maumivu unang'ata sema nini unataka....unatakaa
ama wataka kuniachaa........aaaaah aaaah aaaah
bado hanifariji huku nashikwa na baridi
we mbona gaidi si wakunifanya haya
kwa macho naushaidi wenzangu wanafaidi
bure zangu bidii sio wakunifanya haya
mwambieni nampendaaa..............
bado navumilia
mmmmh aninyanyase sawa.........
bado navumilia
anajua nampendaaaa....................
bado navumilia
nitasubiriiii......................................
bado navumilia
by Baraka jowzey.....!!!!!!!