HATUTASAHAU Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
The devil wears Kaunda
The devil wears Kaunda
Hatutasahau kile mlido
Hatutasahau kile mli do do do
Hatutasahau kile mlido
Hatutasahau kile mli do do do
Kuteseka ni kwa muda
Nitatoa ushuhuda
Kuteseka ni kwa muda ah
Nitatoa ushuhuda
Na kile najua yakwamba the devil wears kaunda
Na kile najua yakwamba the devil wears kaunda
The devil wears Kaunda
The devil wears Kaunda
The devil wears Kaunda
The devil wears Kaunda
Sijui ni wasave ama nijisave
Sijui ni wasenge ama ni maSlave
Mnapiga mtoto mdogo ridthe twelve
Sijui ni rudi mboka nitoe bunduki kwa shelve
Roho inachafuka mkibonga chieth
Hadi nadhani nakunywa chrome kumbe ni matel
Na makarao ukosa uradi
I mean how can you tear gas a baddiie
Na si funny niko serious
Walipiga headshot kijana wa 19yrs
Tunajitambua na ndio maana they be killing us
Niliambiwa siri ni moja master usiRelax
Na si funny niko serious
Walipiga headshot kijana wa 19yrs
Tunajitambua na ndio maana they be killing us
Niliambiwa siri ni moja master usiRelax
Hatutasahau kile mlido
Hatutasahau kile mli do do do
Hatutasahau kile mlido
Hatutasahau kile mli do do do
Kuteseka ni kwa muda
Nitatoa ushuhuda
Kuteseka ni kwa muda ah
Nitatoa ushuhuda
Na kile najua yakwamba the devil wears kaunda
Na kile najua yakwamba the devil wears kaunda
Alooh