
Chini Ya Mwamba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Chini Ya Mwamba - Masterpiece King
...
Alright
Masterpiece
Aah jegede it's Mc Jege on the beat
Chini ya mwa chini ya mwamba
Chini ya mwa chini ya mwamba
Chini ya mwa chini ya mwamba
Masterpiece nipate chini ya mwamba *2
Vipi vijana wazee shikamoo
Anatry kuniita sitago
Shetani hanipati ng'o
Nampa teke ka wife ya dj mo
Masterpiece masterpiece, nataka blessings na nataka peace
Masterpiece masterpiece, nataka blessings devil you won't get a piece
Nikikaa kwa shetani sitamea
Ananiseti na atanichomea
Nikikaa kwa shetani sitamea
So am not there
Shetani sikutaki kwangu ooh
Wachana na maisha yangu eeh
Wacha na wokovu wangu niko chini ya mwamba eheh
Chorus
Huku nje ni kunoma, huku nje ni kunoma kunoma kunoma
Devil atry kutuchoma, Anatry kutuchoma tuchoma tuchoma
Niwe kwa church ama niwe kwa keja mi na Yesu kateja teja
Niwe kwa church ama niwe kwa keja shetani hanipati mteja teja
Chorus
Huku nje ni kunoma huku nje ni kunoma kunoma kunoma
Devil atry kutuchoma, anatry kutuchoma tuchoma tuchoma*2
Chini ya mwa chini ya mwamba
Chini ya mwa chini ya mwamba
Chini ya mwa chini ya mwamba masterpiece nipate chini ya mwamba*2
BEATS