![CHEAT](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/77d1a2ecfa3541f785f3261f33b97369H3000W3000_464_464.jpg)
CHEAT Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Haha, yeah
Omwami Don
Mazeee mazeee naskia mnacheswa huku nje
Haha
Ni kubayaa mbayaa
Mazeee, king kong mazeee, usijaribu kukuwa kafukuswi mazeee
Haha Yeah
Ukimpa gari, atacheat tu
Ukilipa mahari, atacheat tu
Ukimlipa salary, atacheat tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah
Ukimpeleka home, atacheat tu
Ukimjengea throne, atacheat tu
Holiday iwe Dubai, atacheat tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah
We ni wa KFC , mwingine ni wa 'come through!'
We ni wa send more, mwingine ni wa 'thank you!'
We ni wa goodnight, mwingine wa 'silali sahii!'
Utarukwa meen, umekuja Nai sahii?
'Baby niko outing na ma ladies, kumeshika nare kuko crazy'
'Niku video call just for a second?'
'Baby we relax, beta ina deady'
Utalisha ng'ombe wanakamua
Unamvisha drip oh, wanararua
Unamweka stick-ons, asikuwe simple, anaenda Kinoo, kumwashia jiko zinaanguka
On Rec!!!
Ukimpa gari, atacheat tu
Ukilipa mahari, atacheat tu
Ukimlipa salary, atacheat tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah
Ukimpeleka home, atacheat tu
Ukimjengea throne, atacheat tu
Holiday iwe Dubai, atacheat tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah
Kanairo ni bad, usilale huko
Unadhani we ndio shopper, ye ni Carrefour
Chini ya maji anaconda, mpenda nyama carnibal
Kwako akidondoka, kwa yule ni ka swimo
Ah ah
Eti anadai, hadai hadi ring na divai
Unasleki besti anamchapa anazirai
Hujavaa shuka, wafanywa Maasai
Haha
Leo!!!
Cheza chini
Lisha mama yako anakufa njaa ushago
Cheza na wasichana watakufanyia tapooo
Hallo!!!
Ukimpa gari, atacheat tu
Ukilipa mahari, atacheat tu
Ukimlipa salary, atacheat tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah
Ukimpeleka home, atacheat tu
Ukimjengea throne, atacheat tu
Holiday iwe Dubai, atacheat tu
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah