BEDSITTER ft. Mulamwah Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Uhh Si Ni On Rec
Aaah sawa
Aiih
Omwami Don baby, alright
You know what time it is
Mulamwah baby, You donno
Mi Mi MicRule On The Beat
From Kitale nimekuja 2015
Huku Nairobi wanadhani me na ball vi zii
Piga hustle nikanya ka crib
Pale Githu bedsitter 4 thao
Sema ukweli is not a fine hao
Sinaga bed nalalaga grao
Nikiwa na dem nampeleka kwa bro
Sinaga gas napikaga kwa stove
Wageni zii mtaketi kwa floor
Ka black tea tukipiga storoo
Hakunaga space, ni ka naishi kwa hole
Ndo bedroom, living room na bado store
Nikipika omena everybody in the street will know
Nikiwa na bae bila system ni ngori joh
Nzi na roaches ndo ma-ma morio
Kukinyesha masahani zi float joh
Mathe once ali -visit akarudi home
Snaga nare 3 weeks na survive na torch
Ka sleep over mazee mtalala vertical
But si ni life hii ni Nairobi bro
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
Nime chill pale tao, pale Odeon
Ring Ring ni m cuzo Ojijo
Niko Nairopi hepu kucha uni pick pro
Before nilenge Oya Nimekucheki Ton
Tap tap kwenye shoulder nikadhani ni cops
Nacheki cuzo na ka wife na katoi along
Kuku na bags na magunia Bhayaaye poh
Masalaamu then wakadai twende home
Kichwani ni mathafu ju crib ime chrome
Nkatamani niwatoke nipite kachuom
Kufika keja ni disaster, bae amekwom
Nikamshow arudi later, babe ntajam
So tukajisunda wagwaan imagine iyo stuff
Wakaseti ngori zao hata door haiku shut
Walahi pro kecha yako imewesa saaana, khandi sas tuko home me sidhani ntahama
Sina cha kupika ikabidi nime borrow
Nikakesha na bae tuwaachie godoro
Natamani nikimbie nirudi kwa mayii
But me ni ndume sijutii na survive
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
Interlude
Mazee bro una come Nairobi bila kunichapia mazee
Hi ni utiaji mazee maan Aaah
Utiaji vitu gani
We wacha hizo bana
We ngoja niji enjoy na capital city hehe
Kwanza bana nipakulie juice nianze kuji enjoy
Oya come hapa meen
Mazee hata hao haikaliki mazee viatu zako zinachachisha mbaya eeh
Kuchachisha ndio vitu gani bana
Kama ni viatu ni kunuka bana kuanzia leo me ntakuwa navaa slippers
I have to stay with you
Wewe si ni mtoto ya shangazi bana
Sisi wote ni ma wa Nai
Ni ile me ni wa Naitiri hehe
Brathe sina time endea juo
Thank you
But si ni life, na si ni life jo
Sihamii
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo
But si ni life, na si ni life jo