![RUMA ESHINDU (TUMA KITU REFIX)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/74bbeb5f96354ce9883e9a7b457e9a38H3000W3000_464_464.jpg)
RUMA ESHINDU (TUMA KITU REFIX) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Me huzama nkisaka man'gondo
Wananijua Sinoko hadi Kongo
Mambo bado, ninakuja Bosongo
Naskizwa na Genje, Wangoso
Promota kila siku ni platform
Huku presenter za macho ndio ani-feature
Sista bratha ka una deni yangu
Washa simu PA ashaku invoice
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(Ka ni story write a book)
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(Hii mapema staki nuks)
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(B4 upite na ma look)
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(Nadaisha ku zone)
Sina pupa na cash, tumanisha mobile money
Na hii corona maze napunguza touchin touchin
Rusha kakitu, nshike makaimati
As the going gets tough, snaga budi
Nataka shawty afike home, hana ferari vayee
Na vile nganya za Buru, ztamzururisha woiyeee
Inabidi ntume ya Uber, asifike afte
Ndikhusava Were, asinitoke kizeee (uskule fare)
Hawa mangoko wa Nai, wanakupokonya maslai
Tumia yako Njeri uk-fika ntaku refund
Lugha ni pesa, chapaa, kulisha kids mastory
Napenda mang'ondo, uneza ni George Kinoti
Ka si cash nanii, niko na till u bill
Wale ma-snitch hu-spueal, mazee reality kills
Kama hu-pay si play, kama si jana today
Before i step on stage, niko na bills to pay
Me huzama nkisaka man'gondo
Wananijua Sinoko hadi Kongo
Mambo bado, ninakuja Bosongo
Naskizwa na Genje, Wangoso
Promota kila siku ni platform
Huku presenter za macho ndio ani-feature
Sista bratha ka una deni yangu
Washa simu PA ashaku invoice
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(Ka ni story write a book)
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(Hii mapema staki nuks)
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(B4 upite na ma look)
Ruma eshindu, Ruma eshindu, Ruma eshindu
(Nadaisha ku zone)
In this world, kuna watu sampli tatu
Si tribe, si religion, si color ya face
Ni kile jango atatuma, akiku owe a debt
Kuna bazenga ita send mia tano tu flat
Wachana naye, atakutoka baadaae
Hii sample ni mean sana, si shoulder to lean
God bless wale kutuma 527
Hawa ni real, kirende sent from heaven
Na kuna GOATS wale 5~3~0
Waweke close, usiwa le~ti~go
Mbogi ya Lucy ni wale wa ku-ghost
Ku surrender friendship juu ya ma dooh
Tuma kitu clear deni, tiga maheni
Mushibala shino, nowenya humenya bhulai
Ne va-vandu ruma eshindi
Khotsa, ruma eshundi, omwami ruma eshindu
Am all about the money, nazziad ka Naisenya
Me hu-light ka Ray, nikiona simu ikitetema
Tetema(… ring)