![Dalali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/31/826c01d5080e4210b196d01f36542f24_464_464.jpg)
Dalali Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Dalali - Nego Let Me Do
...
Intro:
Dady yuko sweden, mimi naenda Holand x2
Verse 1 (Ajay)
Me natamani hata asingeniangalia mmmh
Imeniathiri mpaka nimezama mazima am in love
Kumbe yeye tanali alishika, me mwenzake nkazama mazima
Si akanizamisha mutima, nimezama mazima mazima
Hook:
Na rangi yake ya chocolate, najichekesha ye hacheki
Inanifanya nakonda, moyoni mwangu nna donda
Uzuri wake hauelezeki, nami ndo nilichompendea
One in a million madollar, one in a miiiiii yeiyeeh
Chorus:
Dalali, dalalia nidalalie
Na akikataa, ng’ang’ania mng’ang’anie nampenda mieeh
iiiiih iiiih, nana na nana nah nah x4
Verse 2: (Alley)
Mmmh mmh, mmmh yeiiih yeah
Maboo maboo, Umenikuta ndo tarehe hiziii
Ananipa tabu ninakutuma ukamwambie hivii
Sinenepi kula sili nimejaa stress nateseka na haya mapenzi iiih
Haelezeki, nimejaribu haelezeki fanya mambo yawe mepesi iiih