Kiama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Kiama - Nego Let Me Do
...
Intro: Cheche! This is for the Love and Grateful it’s a Banger Nego Let Me Do wu! Wu! Wu! Wuwuh!
Verse1: (Ajay)
Ni mimi wako wa mwisho fainaly, siku hata nikiwa sipo uwe pamoja nami
Umenionjesha Ladha ya pendo my darling, tutimize yetu malengo niko tayari
Hook1:
Tumalize ujana we ndo nimekuchagua baby, wengi wameshaachana yamenyauka maua mamiloo
Pendo hili lina sababu aah baby, unizalie kasichana unizalie kavulana auw awh awh! awh! awh!
Chorus: (Alley)
Hey! Mimi na wewe (Kiama) Mpaka kifo (Kiama)
Nizikwe na wewe awh aawh awh awh aawh auwh
Ukiniacha wewe (Kiama)
Kwangu sio simple, simple, sio simple
Mimi na wewe (Kiama) Mpaka kifo (Kiama)
Nizikwe na wewe awh aawh awh awh aawh
Ukiniacha wewe (Kiama)
Kwangu sio simple, simple, sio simple
Verse2: (Alley)
Natamani watu wajue Dunia ijue, Moyo wangu jinsi ulivyouweza mi mateka
Hata ma-ex waje juu, Wala wasikusumbue, moyoni mwangu umeniweza nakupenda
Ma baby Dodo! Dodo!, Ukinikazia mchosho! Michosho!
Usintoe kwa reli Dodo! Oh no!, Ile miuno feni Gojo! Yani Show! Show!
Hook1: (Ajay)
Tumalize ujana we ndo nimekuchagua baby, wengi wameshaachana yamenyauka maua mamiloo
Pendo hili lina sababu aah baby, unizalie kasichana unizalie kavulana auw awh awh! awh! awh!
Chorus: (Alley)
Hey! Mimi na wewe (Kiama) Mpaka kifo (Kiama)
Nizikwe na wewe awh aawh awh awh aawh auwh
Ukiniacha wewe (Kiama)
Kwangu sio simple, simple, sio simple
Mimi na wewe (Kiama) Mpaka kifo (Kiama)
Nizikwe na wewe awh aawh awh awh aawh
Ukiniacha wewe (Kiama)
Kwangu sio simple, simple, sio simple
Outro: This is for the Love and Grateful it’s a Banger Nego Let Me Do wu! Wu!