![Hakuna Matata ft. Belle 9](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/12/0e51cb9fe99e4870877485fcb59ef88b_464_464.jpg)
Hakuna Matata ft. Belle 9 Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hakuna Matata ft. Belle 9 - Nego Let Me Do
...
HAKUNA MATATA
Verse 1: (Alley)
Jhe jhe jhe jhe jhe!
mmmh, iye jhe jhe
(Empire Audio Station)
Jhe jhe jhe jhe jhe!
mmmh
Hata kama mtata, kwako nimejipata
Hakuna matata, tunaimba aaaaaah!
(Ajay)
Mimi kwako kama zawadi, nawewe kwangu kama zawadi,
kwa ndoa tutimize ahadi, tubarikiwe, tubarikiwe Amen!
Hook1: (Alley)
Na kama chuki bora iwe, wakikugusa ngumi jiwe
Nitapigana nikulinde, nikulinde mmmh
(Ajay)
Zipo nyakati tunapogombana, hatushangazwi vyombo kugongana
Midomo yetu inavyofanana, tukigusisha aaah
CHORUS
Hakuna matata iyo!, Hakuna matata iyo!
Hakuna matata iyo!, Hakuna matata iyo, tata iyo tata iyo
Verse 2: (Belle 9)
Aya ya ya ya ya! ye ye ye ye ye!
Uuh nana nanaa! ehh eh!
Kila napokuona, moyo unapata raha
Ringa unavyo ringaga, me ni wako mama
Nyuma ulivyoshona baby, hawachoki kukushangaa
Nampa dereva namba yako akufuate we uje Dar
Kitandani unavyopika zaidi ya jikoni, fumba macho kimasomaso mwanangu asione
Mtoto ulishafundwa kwa mkole, umenikoleza, Awaaa!
Na kama chuki bora iwe, wakikugusa ngumi jiwe
Nitapigana nikulinde, nikulinde mmmh
Hook1: (Alley)
Na kama chuki bora iwe, wakikugusa ngumi jiwe
Nitapigana nikulinde, nikulinde mmmh
(Ajay)
Zipo nyakati tunapogombana, hatushangazwi vyombo kugongana
Midomo yetu inavyofanana, tukigusisha aaah!
CHORUS
Hakuna matata iyo!, Hakuna matata iyo!
Hakuna matata iyo!, Hakuna matata iyo, tata iyo tata iyo
Bridge
Unapendwa na mimi, Unalindwa na mimi
Dua njema pia uombewe na mimi