![Yeye Peke ft. Fabrice Nzeyimana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/18/7e526d4204dc496ea050bf34efc337e8_464_464.jpg)
Yeye Peke ft. Fabrice Nzeyimana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mwokozi wangu
Yeye ni wa ajabu
Anaweza yote
Na Kila siku
Tunashangilia
Ushindi wa Yesu
Mapenzi yake
Yananilinda
Ajali njiani
Kwa neno lake
Ananilisha
Mimi naridhika
Aliniokoa kwa vita kali
Akaiyipasua ile Bahari
Mwokozi wangu
Yeye ni wa ajabu
Anaweza yote
Na Kila siku
Tunashangilia
Ushindi wa Yesu
Mapenzi yake
Yananilinda
Ajali njiani
Kwa neno lake
Ananilisha
Mimi naridhika
Aliniokoa kwa vita kali
Akaipasua ile Bahari
Napaza Sauti ya Sifa zangu
Nainua na hii mikono
NInacheza kwa Furaha Tele
Namsherekea Mwokozi
Yeye Peke
Yeye Peke
Yeye Peke
Tumaini Yetu
Ni kwake Yesu
Mwamba wa wokovu
Kule mbinguni tutamuona
Mkombozi wetu
Halinganishwi na kitu chochote
Ni mwanzo tena mwisho
Aliye umba mbingu na inchi
Sote tumuabudu
Aliniokoa kwa vita kali
Akaipasua ile Bahari
Napaza Sauti ya Sifa zangu
Nainua na hii mikono
NInacheza kwa Furaha Tele
Namsherekea Mwokozi
Yeye Peke( amenipenda )
Yeye peke (Akaniokoa)
Yeye Peke ( Alishinda vita)
Yeye Peke ( aliniweka Huru)