Aende Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2024
Lyrics
Aende - Focusstarworld
...
Machozi
Leo siwafichi nimelia balaa
Hata kiu ya mapenzi iih iih ih
imeniisha naona ufalaa ah ah ah
Mbona mi nalilia mapenzi huku nimeachwa
Ety Badoo ndani kwa moyo namuenzi usoni naficha
mbona Mimi sikulipiza hata moja yote aliyokosa
Ety yeye kanifundisha kulia huku nimenyamaza
oouhh mwambie nilimpenda
mwambie sikuwa tenda
changamoto labda ni ujanaa ni ujanaa
Ama Kuna wake labda anamtaka
huko mbele atampata
Safari njema mwana kwenda mwana kwenda
aaaah nammisi siwezi ficha Ila tu aende ye aende
aaaah nammisi siwezi ficha Ila tu aende ye aende