Sina ujanja Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Ye yeye ................... Ahhh ah mhh
Nife nizikwe
Nizikwe
Nisiwepo labda
Ama nizikwe
Niswekwe miaka kenda
Ila sio kukukosa ooh my love nitatapa tapa
Mwenzio naogopa ukija niacha nitachekwa chekwa
Atanikipangaga kukunyima me nakupa tu
Vile umenishinda nguvu sina yani ifike ujue
Me kwako yani sina ujanja ..
Sina ujanja ujanja
Kwako yani sina ujanja... Sina ujanja ujanja
I swear for really I'm love you
Nachoongea ndio ukweli nakupenda ujuee
Kama safali nimefika nasioni wa kuniludisha
yani hoi tika tika nafsi nayo imelidhika
Yani sisikii sielewi siambiliki iii
Sidanganywi kama kisiki sing'ooki kiii
Atanikipangaga kukunyima me nakupa tu
Vile umenishinda nguvu sina yani ifike ujue
Me kwako yani sina ujanja ..
Sina ujanja ujanja
Kwako yani sina ujanja... Sina ujanja ujanja
From street to the world starworld baby chizy men I'm love