Ngao yako Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Ukijipa likizo ... Starworldbaby chizy men
Likizo ikiisha me Bado utanikuta
.....
Haya usawa
Hayana sababu
Mapenzi hayana jawabu
Muongeaji ama mstaarabu
Hayana dawa
Ukipenda utapata tabu
Uwe fukala uwe garibu
Mapenzi hayana adabu
Kuna muda yanachukiza
mapenzi unaweza kujiapiza
Uwezi Tena kuyageza
Na mwisho unapenda
Wapo yalio waliza
Ushenzi na wao wakalipiza
Uhai wengine wakapoteza
Ata we ushaumizwa najua
Mhh..
Duwa nyingi ushaomba
Upate na we wakukupenda
Maombi Yako yalifika
Ameen..
Uliemtaka uyuapa Mimi
Nitakuganda
Mpenzi nitakupenda
Kwa vita nitakulinda
Me ngao Yako ngao Yako
Mhh..
Nitakuganda
Mpenzi nitakupenda
Kwa vita nitakulinda
Me ngao Yako ngao Yako
Idunia nikubwa
Hautoimaliza kutafuta atae kupenda
Wengiwao wanakwenda
Mhhh..
Wapo wenye zari la mentari
Wengine pesa zao visu vikali
Wajinga ndio waliwao
Ila nao wajinga Wana wao
Mhh..
Ukijipa likizo
Likizo yakupenda
Likizo ikiisha
Me Bado utanikuta
Ukiweka kikwazo
Kikwazo Cha kupendwa
Kikwazo kikiisha
Me Bado utanikuta
Yeiyeee yee oky
Nitakuganda
Mpenzi nitakupenda
Kwa vita nitakulinda
Me ngao Yako ngao Yako
Mhhh..
Nitakuganda
Mpenzi nitakupenda
Kwa vita nitakulinda
Me ngao Yako ngao Yako
Mhhh..
Nitakuganda
Mpenzi nitakupenda
Kwa vita nitakulinda
Me ngao Yako ngao Yako
Mhhh
Nitakuganda
Mpenzi nitakupenda
Kwa vita nitakulinda
Me ngao Yako ngao Yako
Mhhh.