Asante Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Najua wanipenda
Najua wanijali
Mkono wako, Uko nami kila dakika
Niliekua kipofu, kipofu
Nilikosa mwelekeo,
Ukaniongoza, nakunionesha njia baba
Maadui waliniandama
Misukosuko huko na huko
Kaburi nayo, nikaiona kwa macho
Mhm Baba (My defender)
Baba (My protector )
Acha nikutukuze kwa wema wako
Maana Niko nilivyo kwajili yako
Acha nikutukuze kwa wema wako
Maana Niko nilivyo kwajili yako
Nikikuomba unanipa
Nikikulilia wasikia
Baba, you are the best
Umeniokoa, kutoka mavumbini
Baba, mutetezi
Umenilinda, ukanipigania
Asante Yesu, kwa upendo wako
Umenilinda, ukanipigania
Asante Yesu, kwa upendo wako
Baba nashukuru
Nashukuru Baba, uabudiwe, ushujudiwe
Naweka mikono yangu juu
Nikisema Asante, Asante
Nashukuru Baba, uabudiwe, ushujudiwe
Naweka mikono yangu juu
Nikisema Asante, Asante
Mhmm Wafariji wanyonge, nakuwapa Amani waliokufa myoyo,
Ni wewe pekee, Mwamba imara.
Uhai watupa bure, ukiahidi unatenda,
Wewe si binadamu, walauseme uwongo.
Unayotenda ni mengi, kuyalipa siwezi baba
(Pokea utukufu ehh )
Mhmm usifiwe Bwana wa mabwana (ahhhhh)
Uhimidiwe, yahwe! (Iye iyeh iyeh)
usifiwe Bwana wa mabwana (ahhhhh)
Uhimidiwe, yahwe! (Iye iyeh iyeh)
Sina hofu na Shaka, mwenyewe umesema,
Nisiogope, maana uko nami
Mhm Neno lako lasema
wewe unapokuwa upande wetu
Hakuna yeyote anayeweza kuwa juu yetu
Neno lako lasema
wewe unapokuwa upande wetu
Hakuna yeyote anayeweza kuwa juu yetu
Nashukuruuu
Nashukuru Baba, uabudiwe, ushujudiwe
Naweka mikono yangu juu
Nikisema Asante, Asante
Nashukuru Baba, uabudiwe, ushujudiwe
Naweka mikono yangu juu
Nikisema Asante, Asante