Acha Dhambi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Kuna muda ambao mungu
Anataka kutubariki
Lakini sisi wanadamu, tunazidi kumudhulumu
Ni kwanini, tusijaribu kuwa takatifu
Ni kwa nini, tusijaribu kuwa safi kwake
Hapo ndipo, naye atatubariki
Raha za dunia, zimetuchanganya
Oh na anasa, zimetutawala
Sisi wanasamu tunazidi kuwa kwenye machafuko
Tuna muhasi Mungu
Wakati bado twataka kubarikiwa ahh
Mhm kwa nini tusiwe safi ? Ehh
Chorus
Uwe safi mbele za Mungu eh ndugu
(Na ukitaka barikiwa)
Ukitaja barikiwa uchunguze kwanza moyo wako
Acha Dhambi, Acha Dhambi
Hapo ndipo nawe utabarikiwa
(Oh uwe safi mbele zake)
Uwe safi mbele za Mungu eh ndugu
(Na ukitaka barikiwa)
Ukitaja barikiwa uchunguze kwanza moyo wako
Acha Dhambi, (mhm acha dhambi)
Acha Dhambi
(Hapo ndipo)
Hapo ndipo nawe utabarikiwa
Mhmm Bibilia yangu yaniambia kitu kimoja
Usilete Matoleo mbele za Mungu
wakati moyo wako ungali mchafu wewe
(Ungali mchafu)
Ungali mchafuuu
(Ungali mchafu)
Acha kulialia wajiletea laana mwenyewe
Mambo unayofanya
ndio yanakuweka mbali na Mungu
Hawezi kukubariki
Wakati huzitii amri zakee
(Mkristo Mkristo Mkristo Badilika)
Mhm badilika mkristo
(Mkristo Mkristo Mkristo Badilika)
Uwe safi mbele za Mungu eh ndugu
(Na ukitaka barikiwa)
Ukitaja barikiwa uchunguze kwanza moyo wako
Acha Dhambi, Acha Dhambi
Hapo ndipo nawe utabarikiwa
(Oh uwe safi mbele zake)
Uwe safi mbele za Mungu eh ndugu
(Na ukitaka barikiwa)
Ukitaja barikiwa uchunguze kwanza moyo wako
Acha Dhambi, (mhm acha dhambi)
Acha Dhambi
(Hapo ndipo)
Hapo ndipo nawe utabarikiwa
Hallelujah, tujitahidi kumupendeza Mungu jamani
Change, change ahh
Matendo yako, yamupendeza Mungu
Kusema kwako, kumupendeze Mungu
Na kutembea kwako, kumupendeze Mungu
Baba, Baba
(Oh matendo ehh eh )
Matendo yako, yamupendeza Mungu
Kusema kwako, kumupendeze Mungu
Na kutembea kwako, kumupendeze Mungu
Baba, (Mama, Achana na dhambi)
Mama (Achana na dhambi)
(Vijana Achana na dhambi)