Milele Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mataifa ya kuimbia, wewe
Mataifa wa kuimbia, wewe
Maana wewe unatosha, wadumu milele
Maana wewe unatosha, wadumu milele
Uliumba dunia, na vyote vilivyomo
Ukaumba wanyama
Binadamu sote tukiwemo
Wewe ndie Alfa Omega
Mwanzo na mwisho ehh
Nani kama wewe bwana, ulietupigania
Matendo yako yashangaza
Ninashindwa kuelewa aiii wewe
Jehovah jireh!
Mwanzo na mwisho
Mimi na nyumba yangu, nitakuimbia Milele
Milele
Milele
Milele
Milele
Nitakuimbia Milele
Milele
Milele
Milele
Milele
Ninaimba nikiwa nawe (nikiwa nawe)
Mimi ninacheka nikiwa nawe (Nikiwa nawe)
Bwana nina ringa nikiwa nawe (Nikiwa nawe)
Ohh Ninachekewa nikiwa nawe (Nikiwa nawe)
Mhmm
Yesu we ni bwana, ninakupenda
Ulinifia sina chakukulipa ehh
(we ni bwana, ninakupenda
Ulinifia sina chakukulipa ehh )
Oh nacheza, cheza. Umenichekesha
You have shown me favor
So I'm gonna praise you forever.
nacheza, cheza. Umenichekesha
You have shown me favor
So I'm gonna praise you forever.
Mimi nacheza, cheza. Umenichekesha
You have shown me favor
So I'm gonna praise you forever.
nacheza, cheza. Umenichekesha
You have shown me favor
So I'm gonna praise you forever.
Tinga ngai nayembelelayo
Tika ngai na kumisayo
Tika ngai nanetoleyo
Tinga ngai nayembelelayo
Tika ngai na kumisayo
Tika ngai nanetoleyo
Yesu ni wa bien
Twende tena
Unachezeaka wapi
Bina
Yesu ni wa bien
Bamama ba mama bobinaka wapi ehh ?(Awa)
Bapapa bapapa bobinaka wapi? (Awa)
Bamama ba mama bobinaka wapi ehh ?(Awa)
Bapapa bapapa bobinaka wapi? (Awa)
Leopold Mwati bina, ah bina
Mama mapendo, Pasteur Alex
Bina ko
Cheza cheza! Ale Bina bina
Ale bina eh bina eh ehh
Pona yesu, bina pona yesu
Ale bina eh bina eh ehh
Pona yesu, bina pona yesu
Ohh bina bina bina (Bina) (Bina ma bina na yesu)
Bina pona yesu !
Ohh bina bina bina (Bina) (Bina ma bina na yesu)
Bina pona yesu !
Mimi na yesu Mileleeeee!!!!
Milele na Milele Milele na Yesu
(Nitakuimbia mileke, Mimi nitakuimbia Milele)